
Mashabiki washangazwa Yanga kumtimua Gamondi
Baada ya Yanga leo Ijumaa Novemba 15, 2024 kutoa taarifa ya kumtimua kocha wao Miguel Gamondi bila kutaja sababu, mashabiki wa timu hiyo wamegawanyika katika mitandao ya kijamii. Taarifa ya kuachana na Gamondi pamoja na aliyekuwa msaidizi wake Moussa Ndew imetolewa leo baada ya tetesi kuzagaa wiki nzima na uongozi wa Yanga umesema upo kwenye…