
Mfumo wa Manka kuimarisha huduma za kifedha katika utoaji wa mikopo
*Mfumo ni kwa ajili ya kuchakata taarifa za fedha. Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Tausi Africa imezindua rasmi Manka ambao ni mfumo wa uchambuzi wa kifedha unaotumia teknolojia ya Akili Mnemba(AI) uliobuniwa kuboresha tathmini za mikopo katika uchumi usio rasmi wa Tanzania. Mfumo huu unafanyia uchambuzi taarifa za benki na fedha za simu likiwawezesha watoa huduma…