
SERIKALI YAAJIRI WATU WENYE ULEMAVU 1098.
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. SERIKALI imeendelea kuwathamini watu wenye ulemavu nchini ambapo imeendelea kuwapa ajira watu hao huku takwimu zikionyesha toka mwaka 2022 mpaka sasa jumla ya watu wenye ulemavu 1098 wameweza kuajiriwa. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga wakati wa ziara ya Katibu Mkuu…