
Ukosefu wa rutuba ya udongo watatiza wakulima Afrika – DW – 24.07.2024
Afrika ina asilimia 65 ya ardhi yenye rutuba ambayo haijalimwa iliyosalia kote duniani. Licha ya ukweli huo, benki ya maeneleo ya Afrika inabainisha kuwa bara hilo linatumia karibu dola bilioni $60 kila mwaka kununua chakula kutoka nje.Wadau wajadili kilimo cha kulinda mazingira mjini Kampala Matumizi hayo yanatarajiwa kuongezeka hadi kufikia dola bilioni $110 utakapofika mwaka…