
Sugu aanza kazi rasmi Nyasa
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa ya Chadema, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameanza kazi rasmi kwa kufungua kikao cha kanda hiyo, huku akieleza utekelezaji wa ahadi yake ya kuje ga ofisi ya kanda hiyo. Sugu alishinda uchaguzi wa kanda hiyo akimwangusha aliyekuwa Mwenyekiti wa kanda hiyo, Peter Msigwa katika uchaguzi uliofanyika Mei 30, 2024…