
Simba yavuta mido Muivory Coast
HABARI za uhakika ni kwamba Simba wiki hii itamsainisha kiungo wa Asec Mimosas, Serge Pokou mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh200mil. Hivi karibuni Mwanaspoti liliripoti kuwa Simba imefanya mazungumzo na kiungo huyo panga pangua wa Asec na wamekubaliana sehemu kubwa ya dili hilo, ili mwamba huyo aje akakipige kwenye kikosi hicho msimu ujao….