
Mwenyekiti Chadema Tanga azungumzia makada waaliokamatwa na polisi
Tanga. Makada wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Tanga wameachiwa baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kufanya fujo kwenye vituo vya kupigia kura. Makada hao walioachiwa ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Yosefa Komba (38) na Devotha Mpari (48). Pia, watu wengine wawili…