Taifa Gas yapewa tuzo kwa utunzaji mazingira

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amekabidhi tuzo maalum kwa kampuni ya nishati ya gesi ya kupikia ya Taifa Gas Limited ikiwa ni ishara ya serikali kutambua juhudi za kampuni hiyo katika utunzaji wa mazingira sambamba na kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kampeni…

Read More

AKU chatoa somo la mazingira sekondari

Dar es Salaam. Katika kuleta uendelevu na kuwa na mwenendo mzuri wa utunzaji wa mazingira, Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU), kimewajengea uwezo wanafunzi kidato cha pili wa shule ya sekondari ya wasichana ya Jangwani jijini Dar es Salaam. Mafunzo yaliendeshwa na klabu ya mazingira ya wanafunzi ya AKU yakiambatana na upandaji wa miti katika…

Read More

Wamuangukia Rais Samia mgogoro wa pori la akiba

Kiteto. Wafugaji wa Kijiji cha Irkishibor wilayani Kiteto Mkoa wa  Manyara, wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati mgogoro wao wa ardhi baina yao na pori la akiba la Mkungunero ili shughuli za ufugaji na uhifadhi ziendelee.  Wafugaji hao wamewatuhumu baadhi ya askari wa pori hilo kuwanyanyasa, kukamata mifugo yao, kuvunja maboma yao yenye kaya…

Read More

Dk Nchimbi ataka kibano kwa watumishi wazembe

Moshi. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameitaka Serikali kuendelea kupambana na kuwachukulia hatua watumishi wa umma wanaotanguliza maslahi yao binafsi badala ya wananchi. Dk Nchimbi amesema kila mmoja kwenye eneo lake anapaswa kula kiapo cha uaminifu cha kuitumikia nchi kwa uzalendo na hivyo kuchochea maendeleo kwa Taifa. Dk Nchimbi amesema…

Read More

WAALIMU NA WAJASIRIAMALI WAFURAHIA FURSA ZA UWEKEZAJI

Na. Eva Ngowi, WF, Rukwa Serikali imetoa rai kwa Wananchi kuwekeza fedha zao sehemu sahihi na salama badala ya kuwekeza fedha mahali ambapo pana vihatarishi. Akiongea katika semina na Wajasiriamali wadogo iliyofanyika katika Soko la SabaSaba kwenye ukumbi wa Mwenyekiti wa Soko hilo mjini Sumbawanga, Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendeshaji wa Sekta ya Fedha,…

Read More

Msigwa, Lissu jukwaa moja Singida

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Kanda ya Nyasa, Peter Msigwa amefika mkoani Singida kuungana  na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwenye mikutano ya hadhara. Lissu amekuwa na mikutano ya hadhara mkoani Singida tangu mwanzoni mwa Juni inayotarajiwa kufanyika kwa wiki tatu. Msigwa aliyeshindwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) katika uchaguzi wa…

Read More

NAIBU WAZIRI MKUU, DK BITEKO KUSHIRIKI WIKI YA NISHATI JADIDIFU KESHO TANZANIA RENEWABLE ENERGY ASSOCIATION (TAREA)

Maonesho Wiki ya Nishati Jadidifu, JUNI 6-7, 2024  Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania (TAREA), kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati kwa udhamani mkuu wa Sunking, inawaalika Wananchi wote katika Maonesho ya Kitaifa ya Nishati Jadidifu (Renewable Energy)  yatakayofunguliwa Alhamisi Juni 6 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri Nishati, Dk Doto Biteko na kufungwa…

Read More

Simba, Yanga zaletewa bure mastaa 22 wa Safari Cup Dar

BAADA ya mchujo mkali kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania hatimaye kikosi cha mastaa wapya vijana 22 wa mashindano hayo ya kuibua vipaji vya soka maarufu kama Kombe la Safari Lager Tanzania wametajwa. Mastaa hayo tayari wameingia kambini jijini Dar es Salaam na watakuwa chini ya malijendi kadhaa wa Tanzania akiwemo winga wa zamani wa Taifa…

Read More