
Zahanati, Maji ni huduma zinazotakiwa kutekelezwa kwa haraka ndani ya Ukuta wa Magufuli – DC Lulandala
Na Mary Margwe, Simanjiro Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara Fakii Raphael Lulandala amesema suala ya kuwepo kwa huduma ya Zahanati na maji ndani ya Machimbo ya Tanzanite katika Mji Mdogo wa Mirerani ni jambo linalotakiwa kutekelezwa Kwa haraka zaidi kutokana na Msongamano wa wingi wa watu ndani ya Ukuta huo wa Magufuli. Hayo…