
Bibi wa miaka 77 auawa kwa kukatwa shingo
Moshi. Mkazi wa Kijiji cha Nakombila, Kata ya Kimochi, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, Jenny Mtesha (77) ameuawa kwa kukatwa shingo kwa mundu na mtu anayedaiwa kuwa ni mjukuu wake (Jina tunalihifadhi) aliyetaka kumpora bibi huyo Sh 240, 000. Inadaiwa kuwa, tukio hilo lilitokea Juni 3, 2024 baada ya bibi huyo kutoka sokoni, kisha mtuhumiwa …