
Dk Mpango ataka kibano kwa wachafuzi wa mazingira
Dodoma. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameziagiza halmashauri nchini kusimamia ipasavyo sheria ndogo za mazingira na kuchukua hatua kwa wale watakaobainika kwenda kinyume na sheria hizo. Mbali na hilo , amesema takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2021/22 takribani eneo la kilometa za mraba la 95,793 zilichomwa, huku mikoa Morogoro, Katavi na Lindi ikitajwa kuwa na…