
HADITHI: Bomu Mkononi – 30
Tukaenda na Mustafa hospitali ya Muhimbili. Musa alikuwa amelala kichalichali. Alionyesha alikuwa taabani. Mguu mmoja ulikuwa umening’inizwa. Mguu mwingine ulikuwa umefungwa bendeji ngumu.
Tukaenda na Mustafa hospitali ya Muhimbili. Musa alikuwa amelala kichalichali. Alionyesha alikuwa taabani. Mguu mmoja ulikuwa umening’inizwa. Mguu mwingine ulikuwa umefungwa bendeji ngumu.
Kiungo mkongwe Haruna Niyonzima amerejea nchini kwao Rwanda baada ya kusaini mkataba na timu yake ya zamani ya Rayon Sport. Niyonzima, amesaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwaka mwingine kuitumikia Rayon. Hii inakuwa ni mara ya pili kwa Niyonzima kufanya kazi na Rayon, ambayo aliwahi kuitumikia msimu wa 2006-2007. Tayari Rayon, imeshamtambulisha…
TIMU za Bara zilizoshiriki makala ya 44 ya Kombe la Kagame iliyofahamika kama Dar Port Cecafa Kagame Cup 2024 zimeshindwa kuvuka hatua ya makundi. Haikutarajiwa kuwaona wakiwa mabingwa, lakini wangeonyesha ushindani wenye kulingana na ubora wa ligi wanayotoka. Ligi Kuu Bara ambayo ni ya sita kwa ubora Afrika ingedhihirisha ubora wake wa timu zake kufanya…
Dar es Salaam. Familia ya kijana Elvis Pemba ambaye kifo chake kina utata, imedai kuna ofisa wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe amehusika kutokana na wivu wa mapenzi. Mwili wa Elvis (19) umezikwa leo Februari 14, 2025 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Wakati familia ikitoa madai hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa…
Meridianbet na Airtel Money waja na promosheni mahususi kwa ajiri ya mabingwa wote wanaotumia airtel, hii ni kwa wote wateja wapya na wale walipo ukitaka kutafuta tobo la mabingwa basi meridianbet tumekutobolea tobo la kutoboa kibingwa. Kila siku mabingwa wanapatikana ndani miezi mitatu hata wewe unaweza kuwa bingwa, mashujaa wanafurahia kutoboa kibingwa na meridianbet…
Arusha. Katika kile kinachoonekana kama juhudi za viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushusha mvutano wa kisiasa kati ya Mbunge wa sasa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ambaye anatajwa kuweka nia yake kulitwa jimbo hilo. Mapema leo, Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel…
KESHOKUTWA ndiyo siku muhimu na kubwa katika soka letu hapa Tanzania ambalo ni mechi ya ufunguzi wa Fainali za CHAN baina ya Taifa Stars na Burkina Faso pale katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Sisi hapa kijiweni tumefurahia sana kusikia mechi hiyo imepangwa kuchezwa kuanzia saa 2:00 usiku kwa sababu tunaamini ni muda sahihi ambao watu…
Hanang. “Baada ya dhiki faraja.” Methali hii inawiana na hali waliyopitia wakazi wa mji mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, ambao Desemba 3, 2023 walikumbwa na maafa yaliyotokana na maporomoko ya tope. Baada ya mwaka mmoja, leo Desemba 20, 2024, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekabidhi nyumba 109 ambapo watu 745 wataishi, ikiwa ni utekelezaji wa…
Vyanzo vya ndani vimeeleza kuwa wanamgambo wa M23 wameuchukuwa mji huo baada ya mapigano makali baina yao na makundi ya vijana wanaojiita wazalendo ambao baada ya kuzidiwa walikimbilia mji wa Pinga ulio umbali wa takribani kilomita 35 na mji huo wa Kalembe uliotwaliwa na M23. Asubuhi Alhamisi wapiganaji wa kundi hilo wameonekana wakishika doria kwenye…
Dar es Salaam. Vilio vya vyama vya upinzani juu ya wagombea wao kutoteuliwa ama kuenguliwa vimesikika baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa kutoa maagizo kwa kamati za rufaa. Miongoni mwa maagizo hayo kwa kamati za rufaa zinazoongozwa na Makatibu Tawala wa Wilaya ni…