JAMII YATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA KUMLINDA MWANAMKE

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KARIBU asilimia 80% ya shughuli za kibinadamu zinasababisha mabadiliko ya hali ya hewa, hivyo Jamii imetakiwa kuhakikisha inatunza mazingira kwa kupanda miti na kuacha kukata miti hovyo  pamoja na kutunza vyanzo vya maji ili kupunguza mabadiliko ya tabianchi ambayo inaonekana kumuathiri kwa kiasi kikubwa mwanamke. Hayo yamebainishwa leo Juni 5,…

Read More

Mudathri apewa u-MVP | Mwanaspoti

MSIMU wa 2023/2024 umetamatika rasmi majuzi baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikishi kwa kuichapa Azam FC kwa penalti 6-5 katika fainali kali iliyopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan visiwani Zanzibar na kwa sasa inasubiriwa tuzo za Wanamichezo Bora, huku kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mudathir Yahya akipewa u-MVP mapema na nyota anaocheza nao…

Read More

TANROADS yaendelea na kazi ya upanuzi wa barabara ya Ubungo – Kimara kupunguza msongamano.

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa barabara kutoka Ubungo mpaka Kimara ili kupunguza msongamano wa magari katika barabara hiyo Jijini Dar-es-Salaam. Hayo yameelezwa na Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mha. Mohamed Besta alipozungumza na kituo cha Runinga cha ITV katika kipindi cha Kumekucha Mei 31, 2024 ambapo…

Read More

14 wafa lori la kokoto likiparamia coster, hiace

  WATU 14 wamefariki 14 wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jijini Mbeya baada lori moja lililokuwa limebeba kokoto kuparamia basi dogo aina ya Coaster lenye linalofanya kazi Mbeya-Tunduma, Hiace, bajaji pamoja na bodaboda. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea). Akizungumzia ajali hiyo iliyotokea katika mteremko wa Mlima Mbembela jijini hum oleo Jumatano, Mkuu wa mkoa…

Read More

RAIS MSTAAFU NA MWENYEKITI WA GPE DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA VIKAO VYA BODI HIYO MJINI BERLIN, UJERUMANI

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education – GPE) akiongoza Vikao vya Bodi ya Taasisi hiyo vinavyofanyika Jijini Berlin, nchini Ujerumani kuanzia tarehe 4 – 6 Juni, 2024. Katika vikao hivyo, Taasisi ya GPE inapitia na kuazimia masuala mbalimbali ya kiundeshaji yatakayolenga…

Read More