
Wananchi Kusini Unguja waeleza matamu, machungu RC akiwapa matumaini
Unguja. Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, licha ya kupongeza hatua mbalimbali za maendeleo wanazozishuhudia, wamemweleza Mkuu wa Mkoa huo, Ayoub Mohamed Mahmoud, kuhusu changamoto zinazowakabili, huku wakielekeza lawama kwa baadhi ya masheha wanaodaiwa kutozingatia majukumu yao ipasavyo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika maskani ya wazee, kupitia programu maalumu ya Kijiwe cha Maendeleo, baadhi ya…