Mume unautambua wajibu huu kwa mkeo mjamzito?
Dar es Salaam. Ujauzito ni safari ya kipekee na nyeti inayohitaji umakini na ushirikiano wa karibu kati ya wenza. Kwa muda mrefu, katika jamii nyingi, suala la kufuatilia afya ya ujauzito limeachwa kuwa jukumu la wanawake pekee. Hata hivyo, ushiriki wa mume katika mchakato huu ni jambo muhimu sana linaloleta manufaa makubwa kwa mama, mtoto,…