TLS yawafunda waandishi wa habari, yawataka kusaidia umma kutumia uhuru wa kujieleza

Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS), kimewataka wandishi wa habari nchini kuzitumia sheria zilizopo kuhakikisha wanausaidia umma katika ukuzaji wa uhuru wa kujieleza. Anaripoti Wellu Mtaki, Dodoma… (endelea). Hayo yameelezwa jana tarehe 4 Juni 2024 jijini Dodoma na Makamu Mwenyekiti wa TLS Wakili Deus Nyabiri alipofungua mafunzo ya siku mbili ya kuwajengea uwezo waandishi wa…

Read More

INEC YAWANOA WASIMAMIZI WA VITUO VYA UCHAGUZI JIMBO LA KWAHANI

Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Dkt.Zakia Mohamed Abubakar leo tarehe 04 Aprili, 2024 wakati akifungua mafunzo kwa Makarani waongozaji Wapiga Kura vituoni yanayofanyika katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba, Mjini Magharibi-Unguja Zanzibar. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Dkt.Zakia Mohamed Abubakar leo tarehe 04 Aprili, 2024 wakati akifungua mafunzo kwa…

Read More

GGML inavyotumia teknolojia kuigeuza Geita kuwa ya kijani

SHUGHULI za uchimbaji madini hutakiwa kwenda sambamba na urejeshaji mazingira ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kuharibiwa na shughuli hizo ndio maana kumekuwa na ufuatiliaji mkubwa kwa upande wa Serikali na mamlaka husika kuhakikisha mazingira yanalindwa. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Vivyo hivyo katika kulinda vyanzo vya maji hasa ikizingatiwa yanatumiwa na viumbe hai…

Read More

Wizara nne kushughulikia vyanzo ukatili kwa watoto

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Serikali inatarajia kuunda kamati maalumu itakayohusisha Wizara ya Katiba na Sheria, Mambo ya Ndani ya Nchi, Maendeleo ya Jamii na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kubaini vyanzo vya ongezeko la ukatili kwa watoto nchini. Akizungumza leo Juni 5,2024 wakati wa kongamano la kujadili utumikishwaji wa watoto Waziri…

Read More

UDSM YAADHIMISHA WIKI YA TISA (9) YA UTAFITI NA UNUNIFU

TAFITI na Ubunifu zinazoendelea kufanyika ndani ya nchi ni kutokana na msukumo wa Rais Samia kwani ameona zinatoa majibu ya changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii ya watanzania, kama alivyotatua kero ya maji kwa wanawake kuyafuata umbali mrefu kupitia kampeni ya kumtua mama ndoo kichwani. Ameyasema hayo leo Juni 5, 2024 Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew…

Read More

Narendra Modi akosa wingi wa viti bungeni – DW – 05.06.2024

Licha ya Waziri Mkuu wa IndiaNarendra Modi kushinda muhula wake wa tatu mfululizo, lakini chama chake cha BJP hakikupata wingi wa wawakilishi bungeni kama kilivyotarajia ili kukiwezesha chama hicho kuiongoza India, sasa BJP kinahitaji kutafuta washirika kutoka vyama vingine vya kisiasa ili kuunda serikali ya mseto. Chama cha Waziri Mkuu Narendra Modi, kimepoteza wingi wa…

Read More