
DC Itunda akemea imani potofu zinazosababisha ubakaji
VITENDO vya ubakaji, mauaji yatokanayo na visa vya wivu wa mapenzi na imani za kishirikina, vimetajwa kuwa ni moja ya changanoto zinazoikumba jamii hali inayosababisha kukithiri kwa mmomonyoko wa maadili. Anaripoti Ibrahim Yassin … Songwe, (endelea). Kauli hiyo imetolewa jana Jumanne na Mkuu wa wilaya ya Songwe, Solomoni Itunda katika hitimisho la mkutano wa injili…