
Kikosi cha msimu cha Fei Toto; Yanga 7, Azam 3
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambaye amepachika mabao 19 msimu huu akisema ndio msimu wake bora licha ya kukosa mataji, ametaja kikosi bora chake cha msimu akiwajumuisha nyota saba wa Yanga, watatu wa Azam na mmoja wa KMC, ambao anaamini wakicheza mechi hakuna wa kuwazuia. Akizungumza na Mwanaspoti, Fei Toto, amesema alikuwa…