
UOGA WA WAANDISHI KUSHINDWA KUFANYIKA HABARI ZA UCHUNGUZI NCHINI
AMIDI Shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma, Dkt. Mona Mwakalinga amesema sababu inayopelekea kushindwa kufanyika habari za uchunguzi nchini ni uoga ambao umewakumba waandishi walio wengi. Amesema uandishi wa uchunguzi ni muhimu kwani unawawajibisha walioko kwenye mamlaka kwani wakienda kinyume habari za uchunguzi zitawamulika, Ameyasema hayo leo Agosti 30, 2024 katika…