
Kailima ataja sababu wajumbe wa INEC kutojiuzulu
Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema hakuna kifungu chochote cha sheria kinachotaka watumishi wake kujiuzulu kwenye nafasi zao kupisha mchakato wa kupatikana wajumbe wapya. Amesema kuna uhalali wa kisheria unaowafanya watumishi hao waendelee kuwapo kwenye nafasi hizo. Kauli ya INEC, inajibu msimamo wa Chama cha ACT-Wazalendo unaotaka watumishi wa tume…