
MZEE WA FACT: Kama Refa angekuwa Sikazwe, Madrid isingetwaa ubingwa
Rudi nyuma hadi Januari 12, 2022, wakati wa mashindano ya AFCON 2021, mchezo wa hatua ya makundi kati ya Tunisia na Mali. Mwamuzi kutoka Zambia, Janny Sikazwe, alifanya ‘blanda’ ya mwaka, dakika ya 85 akapuliza filimbi ya kumaliza mchezo huku Mali ikiongoza 1-0. Tunisia wakalalamika sana, naye akaanzisha tena mchezo lakini akaumaliza tena dakika ya…