Kamati ya bajeti ya baraza la wawakilishi ZNZ yapongeza miradi ya ujenzi ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka daraja la juu

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Mwanaasha Khamis, Agosti 23, 2024 imetembelea kujionea utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) pamoja na madaraja ya juu (fly over) ambayo inatekelezwa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) katika jiji la Dar es…

Read More

Maji yaliyoibuka chini ya ardhi yazua taharuki Moshi

Moshi. Zikiwa zimepita siku zaidi ya 35, tangu kuibuka kwa maji chini ya ardhi katika eneo la mradi wa stendi ya mabasi ya Kimataifa ya Ngangamfumuni, Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mwajuma Nasombe  amesema hayajaathiri mradi huo baada ya kuchimbwa visima vitatu kwa ajili ya kuyadhibiti. Kwa mara ya kwanza maji…

Read More

Kisa Dabi… Mabosi Simba wafanya kitu kwa Che Malone

SIMBA inatarajiwa kushuka uwanjani kesho jioni kuikabili Coastal Union, lakini akili za benchi la ufundi na mabosi wa klabu hiyo kwa sasa ni Dabi ya Kariakoo itakayopigwa Machi 8 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, lakini kuna mshtuko walioupata kupitia beki wa kati tegemeo, Fondo Che Malone. Beki huyo raia wa Cameroon, amekuwa ndiye mhimili wa…

Read More

MVOMERO WATAKIWA KUANDIKA ANDIKO UJENZI WA STENDI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemwelekeza mkurugenzi wa Halmashauri ya Mvomero mkoa wa Morogoro kuandika andiko maalum la mradi wa ujenzi wa standi ya mabasi Manyinga ili kuondoa adha ya miundombinu wanayokutana nayo wananchi katika kipindi cha mvua. Mhe. Katimba ametoa maelekezo hayo baada ya kutembelea stendi hiyo na kukuta hali isiyoridhisha…

Read More

WAZAZI NA WALEZI SHIRIKIANENI NA WALIMU WA MADRASA KUWALINDA WATOTO NA VITENDO VYA UDHALILISHAJI

NA FAUZIA MUSSA WAZAZI na walezi wametakiwa kushirikiana na walimu wa madrasa kuwalinda watoto wao na vitendo vya udhalilishaji ambavyo bado  vinaonekana kuwepo nchini. Mbunge wa Jimbo la Chaani, Juma Usonge Hamadi aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na walimu, wazazi na wanafunzi wa madrasat Nuru-l-huda  wakati wa  ufunguzi wa madrasa  hiyo  uiyoambatana na kusherehekea  mazazi ya…

Read More

Muujiza mtoto aliyenusurika baada ya kupigwa risasi ya kichwa

Palestina. Unaweza kusema ni muujiza, miongoni mwa maelfu waliouawa Gaza, mtoto wa Kipalestina, Lana Al-Basous amepigwa risasi kichwani lakini risasi hiyo haijamuua wala kumtoa damu. Lana kutoka Gaza, amenusurika kwa njia ya kushangaza baada ya kupigwa risasi iliyorushwa na drone ya Israel, ambapo risasi hiyo ilisimama kati ya fuvu lake na nywele bila kuvunja mfupa…

Read More

Serikali Yasisitiza Uhifadhi wa Ziwa Tanganyika

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa Nchi Wanachama wa Ziwa Tanganyika kuendelea kulinda ziwa hili ili lisaidie katika shughuli za kijamii. Ametoa witi huo wakati akiwasilisha taarifa wakati wa Mkutano wa Tatu wa Mawaziri wa Nchi za Ziwa Tanganyika zinazoundwa na Tanzania, Zambia, Burundi…

Read More