
DKT. JAFO ATEMBELEA NA KUKAGUA MABANDA YA MAONESHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametembelea na kukagua mabanda mbalimbali ya maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayoendelea katika viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo Juni 04, 2024. Amejionea maandalizi ya kilele cha maadhimisho hayo yatakayofanyika…