
Ebrahim Raisi kuzikwa leo nyumbani kwake, Mashhad – DW – 23.05.2024
Raisi anazikwa leo katika eneo Takatifu zaidi kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo la Imamu Reza lililoko katika mji huo wa Mashhad. Mamia kwa maelfu ya waombolezaji walijipanga barabarani kushuhudia jeneza lake likipitishwa kwenye mitaa. Wawakilishi wa ngazi za juu kutoka mataifa rafiki na Iran wanaohudhuria ni pamoja na kiongozi wa Bunge la…