
TANZANIA KINARA AFRIKA USAMBAZAJI UMEME KWA WANANCHI
-Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati -Tanzania yapongezwa kufanya vizuri usambazi wa umeme kwa wananchi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Benki ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kusambazaji umeme kwa wananchi wake. Akitoa pongezi hizo leo Juni 4, 2024 jijini Dodoma,Mkurugenzi…