
Simba Yarejea Kileleni, Chasambi Atoa Gundu – Global Publishers
Simba imerejea kwenye kilele cha Ligi ya NBC kwa kufikisha alama 47 baada ya kuwazaba Wajelajela, Tanzania Prisons kwa jumla ya mabao 3-0. Mabao ya Simba yamefungwa na Jean Ahoua, Radack Chasambi na Elie Mpanzu na kufanya ubao usomeke 3-0 mpaka dakika 90 zinamalizika. Nyota ya Chasambi imeng’aa upya baada ya kufunga…