
PROFESA MALEBO: UHAMAJI WA HIARI KUTOKA NGORONGORO NI KWA LENGO LA KULINDA HAKI ZA BINADAMU NA UHIFADHI
Na Mwandishi W doetu Serikali ya Tanzania imesema kuwa inatekeleza uhamaji wa hiari wa wananchi kutoka Ngorongoro ili kulinda haki za binadamu na uhifadhi. Hayo ameyasema Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO Tanzania kuwa Prof. Hamis Malebo wakati akiwasilisha ujumbe Mkutano wa 23 wa Jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la Masuala…