NGO ya Kapuya yachunguzwa kwa ushoga

SERIKALI imeanza kuichunguza Taasisi ya Athuman Kapuya, dhidi ya tuhuma za usambazaji ushoga inazoikabili shirika hilo lisilo la kiserikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa ya uchunguzi huo imetolewa Leo tarehe 4 Juni 2024 na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, ikiwa ni siku Moja tangu Mkuu…

Read More

VIDEO: Serikali yakana kuipa bahari, madini Korea Kusini

Dar es Salaam. Serikali imefafanua juu ya mkopo wa Sh6.7 trilioni uliosainiwa kati yake na Korea Kusini, ikieleza kuwa haijatoa sehemu ya bahari wala madini ya kimkakati. Ufafanuzi huo umetolewa leo Juni 4, 2024 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi wakati akizungumza na waandishi wa habari kufuatia kuwapo kwa taarifa zinazosambaa katika mitandao ya…

Read More

Serikali yakana kuipa bahari, madini Korea Kusini

Dar es Salaam. Serikali imefafanua juu ya mkopo wa Sh6.7 trilioni uliosainiwa kati yake na Korea Kusini, ikieleza kuwa haijatoa sehemu ya bahari wala madini ya kimkakati. Ufafanuzi huo umetolewa leo Juni 4, 2024 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi wakati akizungumza na waandishi wa habari kufuatia kuwapo kwa taarifa zinazosambaa katika mitandao ya…

Read More

KAMATI YA BUNGE YA NUU YASISITIZA UWAJIBIKAJI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Mhe. Vita Kawawa (Mb.) akifungua kikao cha kamati yake na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kilichofanyika tarehe 3 Juni, 2024 Bungeni, jijini Dodoma. KAMATI  ya Bunge ya Mambo…

Read More

DC MOSHI ATANGAZA SIKU 21 ZA OPERESHENI TOKOMEZA GONGO..

  NA WILLIUM PAUL, MOSHI.  MKUU wa Wilaya ya Moshi Zephania  Sumaye ametangaza siku 21 za moto za Oparation ya kukamata mitambo yote inayotengenzea pombe haramu ya gongo katika Wilaya hiyo. Akizungumza katika baraza la Madiwani la Halmashauri ya Moshi Sumaye amesema vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa wameharibikiwa kutokana na unywaji wa pombe…

Read More

MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI 2024 KITAIFA KUFANYIKA TABORA KUANZIA JUNI 29.

MRAJIS  na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, (TCDC) , Dkt. Benson Ndiege,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 4,2024 jijini Dodoma kuhusu kuelekea  maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD 2024) yanatarajia kufanyika  kitaifa mkoani Tabora kuanzia Juni 29,2024 na kufikia kilele chake  Julai 6, 2024 katika viwanja vya Nanenane –…

Read More