
Wenye ulemavu waongezeka elimu ya juu, Shivyawata yasema…
Dar es Salaam. Kuimarika kwa huduma jumuishi kwa wanafunzi wenye uhitaji maalumu kumetajwa kuwa sababu ya ongezeko la wanafunzi hao wanaofika elimu ya juu nchini. Hilo limeenda sambamba na uwekezaji uliofanywa katika maeneo mbalimbali, hali inayochochea kuondoa ugumu wa ujifunzaji na vikwazo vilivyokuwapo. Takwimu za Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) zinaonesha kuwa idadi ya…