
Sita mbaroni wakidaiwa kumuua mama yao mzazi
Mwanza. Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mama yao mzazi, Shija Mageranya (77), mkazi wa Kijiji cha Ndua Kata ya Kasororo wilayani Misungwi mkoani humo. Watuhumiwa hao ni Kashinja Dotto (55), Joseph Dotto (20), Magerani Dotto (44), Nyanzala Dotto (34), Masaga Dotto (46) na Milapa Dotto…