
Putin asifu uhusiano imara kati ya Urusi na China – DW – 03.07.2024
Kabla ya kuanza mkutano huo Putin na Xi wamefanya mikutano ya pembezoni na viongozi kadhaa wanaohudhuria mkutano huo mjini Astana, nchini Kazakhstan. Viongozi wa nchi wanachama wa SCO watajadili hali ya sasa na matarajio yanayoongezeka katika pande nyingi za Jumuiya hiyo ya na pia nchi wanachama zinataka kuboresha zaidi shughuli za Jumuiya hiyo. Soma pia: Kazakhstan…