ANGELLAH KAIRUKI: “NITAENDELEZA KASI, HAKUNA MRADI UTAKAOSIMAMA KIBAMBA”
Kibamba, Dar es Salaam – Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Angellah Kairuki, ameendelea na ziara yake ya kampeni kwa lengo la kuimarisha mshikamano na mshikikiano miongoni mwa wanachama wa chama hicho. Katika ziara hiyo, Kairuki alibainisha kuwa moja ya vipaumbele vyake ni kuhakikisha changamoto za wananchi zinapatiwa ufumbuzi wa…