Wawakilishi walia sheria ya uvuvi kuwanyanyasa wavuvi
Unguja. Wakati Wizara ya Uchumi wa Buluu ikisema ipo kwenye mchakato wa mwisho kufanyia marekebisho ya sheria ya uvuvi, wajumbe wa baraza la wawakilishi wametoa mapendekezo yao kuondoa vipengele ambavyo vimekuwa mwiba kwa wavuvi. Malalamiko hayo ya sheria hiyo namba saba ya mwaka 2010 ni pamoja na kuzuia wavuvi kuingia na viatu baharini, kutumia vioo…