
Maafisa na Askari 142 wa Jeshi la zimamoto na ukoaji wavishwa nishani Tanga
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nchini (CGF) John William Masunga amewatunuku Maafisa na Askari wa Jeshi hilo Nishani 142 kutoka Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro pamoja na Tanga kwa Niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Chuo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichopo Chogo,…