
Mchengerwa atoa maagizo kumaliza changamoto za walimu
Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ameiagiza Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), kutembelea walimu kwenye vituo vyao vya kazi na kujua changamoto zao, badala ya kung’ang’ania ofisini. Mbali na hilo pia ameiagiza TSC kushughulikia kero na changamoto za walimu nchini ili kuondoa malalamiko…