
Kanuni za Ligi zawakutanisha Simba, Yanga mara tatu 2024/25
KANUNI za Ligi Kuu, zinalazimisha Yanga na Simba kukutana mara tatu msimu ujao ingawa inaweza kuwa zaidi ya hapo ikiwa zitafanya vyema katika mashindano mengine. Kitendo cha Yanga kumaliza ikiwa bingwa wa Ligi Kuu na Bingwa wa Kombe la Shirikisho (FA), huku Simba ikimaliza katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi msimu uliomalizika, kinawapa…