
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Korea na Afrika, Kintex nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Viongozi mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili Kintex, nje kidogo…