
Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako,’ Yakabidhi BMW X1 Kwa ‘Mmachinga’ Kariakoo.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imehitimisha rasmi kampeni yake ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako’ kwa kukabidhi zawadi ya gari ya pili aina BMW X1 kwa Bw Galus Peter Casto maruufu kama “Kweka” ambae ni mfanyabiashara mdogo ‘Machinga’ kwenye Soko la Kariakoo jijini Dar es salaama alieibuka mshindi wa zawadi hiyo kuu. Kampeni hiyo…