
Wananchi 103 wa maeneo yaliyotwaliwa Dodoma walipwa mamilioni
Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Maji, imekamilisha ulipaji fidia yenye jumla ya Sh999 milioni kwa wananchi 103 wa maeneo yalitwaliwa yakiwamo Nzuguni, Zuzu Nala, Nala Chihoni na Kibaigwa jijini Dodoma. Lengo ni ujenzi wa miradi ya maji inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (Duwasa). Ulipaji wa fidia hizo, umeongozwa na Wizara…