
Serikali, wadau kuwapa wanawake ujuzi wa teknolojia
Dar es Salaam. Katika kuongeza ushiriki wa wanawake katika matumizi ya teknolojia, Serikali imeweka mkakati wa kushirikiana na wadau kutoa elimu ili kufikia usawa wa kijinsia katika uga huo. Hayo yamesemwa leo Juni 3 jijini Dar es Salaam na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalumu, Dk Dorothy Gwajima katika hafla…