
Milioni 50 zakwamisha basi Coastal Union
KIASI cha Sh50 milioni zilizotakiwa kulipwa Mamlaka la Mapato Tanzania (TRA), zimedaiwa kukwamisha basi la Coastal Union kutoka bandarini Dar es Salaam na sasa mabosi wapya wanakuna vichwa kukamilisha ndoto ya kumiliki usafiri wa maana wa wachezaji na maofisa wa timu hiyo. Mzabuni wa Coastal ambaye pia ni mdhamini wa klabu hiyo kutoka kampuni ya…