
Kesi ya wanandoa kujeruhi jirani yapigwa kalenda tena
SHAHIDI wa upande wa mashitaka Kiran Lalit Ratilal, ameshindwa kutoa ushahidi katika kesi ya kujeruhi inayowaabili wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54), kwa sababu wakili wa utetezi katika kesi hiyo yupo Mahakama ya Rufani kwenye shauri lingine. Anaripoti Mwandishi Wetu ….(endelea) Wanandoa hao ambao ni raia wa Tanzania wenye asili ya kihindi wanaoishi…