Jumamosi ya Kibabe na Meridianbet Hii Hapa

HATIMAYE siku ya kutabasamu na Meridianbet imefika ambapo leo hii mechi za kukupatia mtonyo wa uhakika zinachezwa, hivyo ingia Meridianbet na usuke jamvi lako la ushindi hapa. Tukianza na kule Hispania leo hii LALIGA ni kwa moto sana ambapo mechi ya mapema kabisa ni hii inayowakutanisha kati ya Celta Vigo vs Real Betis ambapo mara…

Read More

Tabia nne za kukupa mafanikio maishani

Tunapofanya kitu chochote maishani,  hatuna budi kufahamu dhahiri namna au mbinu bora ya kufanya kitu hicho. Kwa kujua kufanya kitu hicho kiusahihi, ni wazi kwamba utafanikiwa na kwa kutojua kufanya kitu au jambo hilo,  basi ni wazi kwamba utashindwa. Yako mambo mengi sana maishani yana kanuni za kuyafanya, usipozijua kanuni hizo lazima ama ushindwe kuyafanya…

Read More

Takukuru yaibuka na mpya chaguzi zilizopita

Mwanza. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini kwa kuchambua mfumo wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020, umebaini kuwepo vitendo vya rushwa katika uchaguzi huo. Kauli hiyo imetolewa jana Agosti 30, 2024, Mkuu wa Dawati la Uzuiaji Rushwa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na…

Read More

Uhimilishaji ng’ombe jike waongeza upatikanaji maziwa Rungwe

Mbeya. Katika jitihada za kuboresha uzalishaji wa maziwa na kuinua sekta ya mifugo, wafugaji katika Wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya, wameanza kutumia teknolojia za kisasa za uhimilishaji wa majike ya ng’ombe kwa kutumia mbegu bora. Ofisa Uhimilishaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Haji Ludanga amesema kuwa matumizi ya teknolojia hiyo yameanza kuleta mafanikio makubwa…

Read More

WAZIRI BITEKO KUFUNGUA MKUTANO MKUU WA SABA WA JUMUIYA MAMLAKA ZA USIMAMIZI WA USAFIRI MAJI AFRIKA

Na Lilian Ekonga. Dar es salaam. Tanzania  kupitia  shirika la uwakala  wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa  kuwa  nchi mwenyeji kwenye  wa Makutano wa  saba (7) wa akimataifa wa jumuiya ya  Mamlaka za usimamizi wa usafiri  Majini Barani Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe  29 novemba  hadi 10 Disemba 2024 jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa…

Read More

CCM YAPUUZA KAMPENI ZA ‘SAMIA MUST GO’ ZILIZOANDALIWA NA VIJANA WA CHADEMA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameweka wazi msimamo wa chama chake kuhusu kampeni mpya inayoratibiwa na vijana wa CHADEMA (BAVICHA) yenye kauli mbiu “Samia Must Go”. Akizungumza leo kwenye mkutano na wahariri na waandishi wa habari waandamizi uliofanyika katika ofisi ndogo za CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, Dkt….

Read More

ASKOFU KUTTA AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI MCHAKATO UANDIKISHWAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

  Na Mwandishi Wetu KANISA la Anglikan Catholic church Jimbo la Tanzania limewahamasisha wananchi wa Mkoa wa Dodoma kushiriki kikamilifu katika  mchakato wa uwandikishaji kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linalotaraji kuanza Oktoba 25 mpaka mpaka Novemba 1 mwaka huu mkoani humo. Askofu Mkuu wa Anglikan Catholic church Jimbo la Tanzania,Dk. Elibariki Philip Kutta…

Read More