
HISIA ZANGU: Kama Kelvin John angecheza soka kwa ajili yetu…
BAADA dakika chache kutangaza kwamba ameachana na klabu ya Genk ya Ubelgiji, Kevin John, mchezaji aliyewahi kupachikwa jina la ‘Mbappe wa Tanzania’ alijitangaza kuwa mchezaji mpya wa klabu ya Aalborg ya Denmark. Jezi yao inavutia na Kelvin ni mchezaji wao mpya kuanzia sasa. Kelvin amesogea au amerudi nyuma? Tusidanganyane. Amerudi nyuma. Nadhani hata yeye mwenyewe…