
Mwalimu New Vision Mirerani adaiwa kujinyonga shuleni kwa kamba
Mirerani. Mwalimu wa Shule ya Awali na Msingi New Vision, mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP), George Katabazi akizungumza leo Jumanne Julai 16 2024 amemtaja mwalimu huyo kuwa ni John Msinga (34) mkazi wa…