
SIO ZENGWE: Hili la kuahirisha tuzo ni kiburi kuwa sugu
MECHI ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya baina ya Borussia Dortmund na Real Madrid iliyofanyika juzi usiku imehitimisha msimu wa soka barani Ulaya, huku wachezaji wasioteuliwa timu zao za taifa wakienda mapumzikoni na wengine katika kambi za mataifa yao kujiandaa na mechi za awali za Kombe la Dunia. Kwa mara ya 15, Real…