
DKT MWIGULU, WAZIRI AWESO NA MBUNGE CHEREHANI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA WA BIL 44 – USHETU
Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani wameshuhudia utiaji saini mradi mkubwa wa Bilioni 44 wa maji ya ziwa Victoria. Hafla ya utiaji saini kandarasi ya ujenzi wa mradi wa usambazaji maji ya ziwa Victoria kutoka…