
MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA MKOMBOZI KWA MKULIMA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb) akiwa na Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Viongozi wa Wizara wakiongozwa na Naibu Waziri Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Morogoro wakiangalia miche iliyopo katika kitalu cha kuotesha miche ya…