
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI MAKOME WILAYANI MTWARA,AWAPONGEZA WATENDAJI WA RUWASA KWA MATUMIZI SAHIHI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAJI
WANANCHI wa kijiji cha Makome na Makome B wilaya ya Mtwara Mkoani Mtwara,wamepata matumaini ya kuondokana na adha ya ukosefu wa huduma ya maji safi na salama baada ya wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa),kuanza ujenzi wa mradi wa maji ya bomba. Wananchi wa vijiji hivyo,kwa muda mrefu wanalazimika kuamka usiku wa manane…