
Mwalyanzi: Moto wa Mbeya City hauzimiki
KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City, Peter Mwalyanzi amesema ubora waliouonyesha katika Ligi ya Championship hautazimika kwani wamepania kuendelea nao hata kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na uwekezaji na umoja uliopo ndani ya timu hiyo. Mbeya City imerejea Ligi Kuu Bara baada ya kukosekana kwa misimu miwili tangu iliposhuka 2022-2023, ikishika nafasi ya pili nyuma ya…